- About us
- Services
- Administration
- Publications
- Contact
- Tender
- Vacancy
- Media Centre
- Training
- TPRI Scientist Profile
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TPRI Profesa Chibunda akiwa na wajumbe wa Bodi ambayo imemaliza muda wake wa usimamizi wa Taasisi ya TPRI kwa mafanikio makubwa chini ya uongonzi wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu Daktari Margret Mollel, Moja ya mafanikio chini ya usimamizi wa Bodi ni kama; Kuondoa migogoro kati ya wafanyakazi na Taasisi, Chama cha wafanyakazi na Taasisi, Kusimamia vywema shughuli za kitafiti, ukarabati wa majengo, ununuzi wa mashine za kisasa zinazoongeza ufanisi katika uchambuzi wa viuatilifu ili kuwezesha usimamizi na uthibiti wa uagizaji na uingizaji wa viuatilifu vilivyoko chini ya kiwango ambapo inaleta tija kwenye kilimo , kwa kuwezesha wakulima kupata viuatilifu bora vitakavyomwinua mkulima katika kilimo ili aweze kuchangia katika pato la Taifa na pia kuwezesha Tanzania kufikia uchumi wa kati kupitia Viwanda.
Tropical Pesticides Research Institute (TPRI)
P.O. Box 3024 , Arusha - Tanzania
Nairobi Rd, Ngaramtoni Area
Fax : +255 272970468
Telephone : +255 272970467 / 64
Email : dg@tpri.go.tz
Copyright ©2016 Tropical Pesticides Research Institute (TPRI). All rights reserved.
Designed and Developed by: e-Government Authority (eGA). Content maintained by: Tropical Pesticides Research Institute (TPRI)